mapenzi app

    Nigeria Yaongoza Afrika Orodha ya nchi 10 duniani Ambazo Wanaume Huridhisha wake zao kitandani



    Kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa na misukosuko ya maisha, ukosefu wa chakula, magonjwa na kipato inaelezwa kuwa ndiyo sababu ya bara la Afrika kuwa la mwisho kwenye orodha ya nchi zenye wanaume ambao wanawaridhisha wake zao kwenye ndoa wakiwa faragha.

    Kwa utafiti uliofanywa na mtaalamu wa masuala ya ya mahusiano an aliyebobea kwenye masuala ya ndoa, Bi Victoria Milan kupitia mtandao wake wa victoriamilan.com unaojihusisha na masuluhisho, ushauri na takwimu mbalimbali za mahusiano mtafiti huyo amesema nchi za Ulaya, ndiyo zinaongoza kwa wanaume kuwaridhisha wake zao kwenye ndoa ukilinganisha na mabara mengine kama Amerika, Asia na Afrika.

    Bi Milan amesema kwenye utafiti huo alitumika idadi ya watu 9,165 walio kwenye ndoa kutoka nchi 80 za mabara ya Afrika, Ulaya, Asia na Amerika ya Kusini/Kaskazini ambapo kila nchi alihoji ndoa 80 hadi 82 kutokana na idadi ya watu wa nchi husika.

    Kwenye takwimu hizo alipata wastani wa muda wa wapenzi wanaotumia wakiwa faragha kwa kila mzunguuko mmoja ambapo wastani wa nchi za Ulaya ulikuwa ni dakika 32.1 kwa kila mzunguumko mmoja wa tendo la ndoa ambapo nchi zilizoongoza ni Denmark, Finland na Sweden.

    Bara lingine ambalo limefuatia ni Amerika ya Kaskazini/Kusini ambapo wastani wao ni dakika 23.4 wakiongozwa na nchi za Marekani na Canada.

    Bara la tatu ni Asia na la mwisho kwenye utafiti huo ni Afrika ambapo wapenzi walio kwenye ndoa hutumia wastani wa dakika 5 kwa mzunguuko mmoja na nchi zinazoongoza kwa kukaa muda mrefu kwa mzunguuko mmoja ni Nigeria na Afrika Kusini.

    Orodha ya nchi hizo ni kama ifuatavyo NB: Huu ni muda ambao wanaume hutumia kwa kila mzunguuko mmoja bila ya maandalizi.

    1- Denmark Dk 43

    2-Marekani Dk 41

    3- Finland Dk 39

    4- Canada Dk 36

    5- Norway Dk 34

    6- Uingereza Dk 33

    7- Ujerumani dk 31

    8- Czech Republi Dk 29

    9- Ireland Dk 27

    10- Austria Dk 27

    Kwenye orodha hiyo ya 10 bora duniani hakuna hata nchi moja kutoka Afrika ingawaje nchi ya Nigeria imeingia kwenye 20 bora kwa kushika nafasi ya 19 ikiwa nawastani wa dakika 20 ikifuatiwa na Afrika Kusini nafasi ya 20 ikiwa na Wastani wa dakika 18 pekee.

    Sababu kubwa zilizotajwa kwa wanaume wengi kwenye ndoa kutumia muda mfupi kwenye tendo hilo ni uvivu, Mazoea, majukumu ya kila siku, msongo wa mawazo na aina ya vyakula .

    “Wakati nafaya utafiti wanandoa wengi hususani wanawake walisema kabla ya ndoa wenza wao walikuwa wakitumia muda mwingi kuwaandaa na hata kwenye tendo lenyewe lakini baada ya kuishi nao walianza kupoteza uwezo wao kitandao”,amesema Bi Milan kwenye mdahalo wa kipindi cha Loose Women kinachorushwa na kituo cha itv cha Uingereza .

    Hata hivyo kwenye utafiti huo amebaini kuwa Wanawake ambao wanaridhishwa na wenza wao bado wanaonekana ni vijana wenye afya na nyuso zenye furaha ukilinganisha na wale ambao hawaridhishwi kwenye tendo la ndoa.
    USIPITWE NA HABARI,MATUKIO,SIMULIZI KALI ZA MAPENZI,MIKASA,MAFUNDISHO KUHUSU MAPENZI KILA SIKU BOFYA HAPA KUDOWNLOAD APP YETU SASA NI BURE KABISA
    mapenzi app

    LEO NAWASHAURI WANAUME



    1. Mwanamke si ruler iliyonyooka kwamba hakosei, bali anapokosea adhabu yake si ngumi bali ni mawaidha.

    2). Usihuzunike mkeo hapendezi au hanukii hali ya kuwa hujanunua nguo wala perfume ,wewe ndiye ulaumiwe.

    3). Usifichue udhaifu wa mkeo kwa familia na marafiki zako. Itakurudia. Wewe ni mlinzi wa mkeo, naye ni mlinzi wako.

    4). Usimkataze mkeo kushika simu yako baada ya kuita kwa kuiwahi wewe kabla hajaona anayekupigia, unachokichukulia tahadhari kikigundulika ndoa yenu itapata mitikisiko.

    5). Usiogope kuchekwa kwa kumsaidia mkeo shughuli za ndani, mke si mtumwa isipokuwa ni msaada kwako.

    6). Usipendepende kusifu wanawake wengine mbele yake, hujui maisha yao halisi yalivyo. Ukiibomoa hadhi yake, upendo wake kwako utashuka.

    7). Usimgombeshe mkeo kwa kutoweza kupika vyakula unavyovipenda ,kwao hakukua na chuo cha upishi alipika kulingana na kinachopatikana, bora ni kumfundisha.

    8). Usimpe mtu mwingine fursa ya kumhudumia mkeo, watu wanawaweza kufanya mambo mengine, lakini huduma za mkeo ni jukumu lako mwenyewe.

    9). Hakuna mwanamke ambaye atamvumilia mwanaume dhaifu kitandani ,tumia kiwiliwili chako vizuri.

    10). Peracetamol na dicloper isiwe ndio tiba ya kila ugonjwa anaoumwa mkeo ,suala la kumtibu ni lako usilikwepe.

    11). Usiruhusu marafiki zako kuwa karibu mno na mkeo.

    12). Usimlinganishe mkeo na wanawake wa nje hao hawajui thamani yako ,ukiendelea na hilo mapenzi ndani yatapungua.

    13). Muheshimu mkeo hata kama wewe ndio mkuu wa familia kwani heshima ndio msingi wa ndoa yenu.

    14). Usiwe mume mwenye dhana potovu juu ya mke ,uwaminifu dhidi ya mkeo ndiyo chanda njema.

    15). Usimkosoe mkeo hadharani anapokosea ,hakuna anayekubali kukosolewa hadharani ,matoke ya hilo siku zote huwa hasi.

    17). Maamkizi mema yapambanishwe na kugusana miili yenu ,jambo hilo huondoa madoa yaliyo katika nafsi zenu.

    18). Neno "nakupenda" litawale kumwambia mkeo kwani mwanamke hufurahi kuambiwa neno hilo.

    19). Penda kumshirikisha mkeo katika mipango ya kimaendeleo, mwanamke ni mshauri mzuri.

    20). Watoto ni watoaji nje kila habari iliyo ndani kwenu, hivyo sehemu ya kumkosoa ni chumbami si mbele ya watoto.
    mapenzi app

    Sababu za Wanaume Kuwa Mapenzini na Wafanyakazi wa Ndani (House Girls)



    Miongoni mwa watu ambao wanatakiwa kupewa heshima zote hapa duniani ni wadada wa kazi za nyumbani ( house girl),  maana hawa wamekuwa wana msaada mkubwa sana katika familia zilizo nyingi. Wamekuwa wakiwasaidia wenye nyumba katika kutimiza majumu mbalimbali ambapo mimi binafsi naamini kazi hizo wanazozifanya na wafanyakazi hao  kama wenye nyumba wakipewa wazifanye ni lazima zitawashinda hii ni kutokana na ugumu na wingi wa kazi hizo.

    Lengo la kuja hapa si kuwasifia wadada wa kazi ila nafanya hivyo kwa sababu najikuta naguswa sana na umuhimu wa wadada wa kazi katika kutekeleza majukumu mbalimbali wayafanyayo. Kama wewe ni mdada wa kazi na unasoma makala hii basi mwenyezi Mungu akautie nguvu kila wakati katika kutekeleza  yaliyo mema na yenye kumpendaza bosi wako.

    Baada ya kusema hayo naomba sasa naomba nilonge na wakina mama wote walioko kwenye mahusiano ya  ndoa ambao wanaishi na wafanyakazi wa ndani.

    Hivi uliwahi kujiuliza ni kwanini wanaume wengi hupenda kuwa na mahusiano na wasichana wa ndani? Kama hujawahi kujiuliza basi leo nitakupa ukweli usiojua kuhusu jambo hili.

    Ipi hivi wanandoa wanapoingia katika mahusiano ya kimapenzi huwa kunakuwepo na upendo wa kweli baina yao mwanzoni kabisa mwa mahusiano hayo ila kadri siku zinavyozidi kwenda ndivyo upendo unavyozidi kushuka, jambo hili hutokea hii ni kwa sababu ya wanandoa hao hufika hatua wanazoeana sana hivyo kila mmoja wao kumuona mwenzake ni mtu wa kawaida sana hivyo kupelea kushuka kwa heshima baina yao.

    Hivyo inapofika hatua ya kwamba wandoa hao wamezoea na heshima imeshuka hivyo ndoa hubadilika mwelekeo na kuwa chungu kama shubiri,  na inapofika hatua hii mwanaume huwa haoni thamani tena ya mkewe.

    Na kwa kuwa falsafa ya mahusiano inatuambia ya kwamba mwanaume huwa haitaji upendo kutoka kwa mkewe  katika suala zima zima la mahusiano, bali mwanaume huhitaji heshima ya kutosha kutoka kwa mke wake, hivyo inapofika kipindi mwanaume huyo haoni tena thamani na upendo kutoka kwa mkewe hivyo anaamua kung`aza macho yake kwa mtu ambaye atampa heshima.

    Na kwa kuwa wewe mkewe umebadilika kitabia haupo kama ulivyokuwa zamani hivyo mwanaume huyo anaamua kwenda kwa mfanyakazi wako wa ndani, kwa kuwa mwanaume anaona heshima nyingi kutoka kwa mfanyakazi wa ndani kuliko kwako.

    Nini kifanyike ili kuzua tabia ya mwanaume kutoka kimapenzi na wafanyakazi wa ndani.

    Mosi; ewe mwanamke  ili mwanaume wako  asiwe na tabia hii ya kuwapenda kimapenzi wafanyakazi wako wa ndani unatakiwa kuelewa ya kwamba kitu ambacho humpa mwanaume tabasamu mwanana la kimapenzi ni pamoja na kumuonesha mwanaume huyo heshima iliyo ya kweli na si vinginevyo.

    Pia si kila jukumu anatakiwa kufanya mfanyakazi wako wa ndani mengine unatakiwa kufanya wewe mwenyewe, kila wakati kumbuka majukumu yako ni yapi na majukumu ya kumpa mfanyakazzi wako ni yapi pia.

    Mbili; Mwanaume achana na tabia hii kwani haitakusaidia kwa chochote zaidi ya kujenga mahusiano yaliyo mabovu baina yako na mpenzi wako. Lakini pia Afisa Mipango nakushauri ya kuwa kila wakati ewe mwanaume unatakiwa kukumbuka kiapo chako cha ndoa.

    Tatu; Ewe mfanyakazi wa ndani tafadhari sana achana mara moja na tabia hiyo ya kufanya unayajua sana mapenzi, kilichokupelekea hapo ni kufanya kazi na si mengineyo kwani kama utaendelea na tabia hiyo utaweka sumu kwenye familia hiyo.  Muombe Mungu akupe na nawe kipenzi wa moyo wako.

    Mwisho naomba nikutakie siku njema na majumu mema, endelea kutembelea Muungwana blog kila wakati.
    USIPITWE NA HABARI,MATUKIO,SIMULIZI KALI ZA MAPENZI,MIKASA,MAFUNDISHO KUHUSU MAPENZI KILA SIKU BOFYA HAPA KUDOWNLOAD APP YETU SASA NI BURE KABISA
    mapenzi app

    Faida na Hasara za Majibizano Katika Mahusiano.

    Sidhani kama kuna ambaye hajawahi kujikuta kwenye majibizano na mpenzi wake, ziko hata nyakati mnaingia katika mlipuko wa majibizano hata mnashindwa kujua sababu ya kujibizana kwenu. Vitu kama vile mmoja kuchelewa kurudi nyumbani, kushindwa kuwasiliana sawa na mwingine alivyotarajia, kushindwa kutoa msaada pale ulipohitajika, hisia za kuwepo kwa mahusiano pembeni, tabia zisizoeleweka baina ya mmoja na simu yake ya mkononi, au ndugu zenu kuingilia mahusiano yenu kwa namna yeyote ile.

    Haya ni baadhi tu ya maeneo ambayo wengi wetu tumejikuta tunapishana kimaneno na wapenzi wetu. Mara nyingine inatokea mmepanga kwenda kula au kunywa nje ya nyumbani “outing” mnafika tu sehemu husika mkiwa mnasubiria chakula au mmeshaanza kula mara mmoja wenu anatoa neno moja linaloamsha majibizano makali sana ghafla ile raha ya kuendelea kuketi na kula pale inaisha, mnaamua kukiacha chakula na kuamua kuondoka, tena ikiwezekana kila mmoja kwa njia yake.

    Najua kama ingekuwa tuko darasani nikasema wanyooshe mikono wale ambao hali kama hizi au zinazo fanana na hizi zimewahi kuwatokea wengi wangenyoosha mikono.

    Inabidi kuwa makini sana kwasababu kutofautiana katika maneno kunaweza kuwa na muendelezo bila hata ya nyie kugundua na baadae kuwapeleka pabaya. Kwamfano, wapenzi hawa wawili wanaanza taratibu katika maongezi yao “leo tunakula nini” mmoja anauliza, mara anajibiwa “kwanza kila ukimaliza kula unaacha vyombo mezani badala ya kunisaidia hata kuvisogeza wakati unajua tuko wawili tu?”Baada ya muda kupita na majibizano kama haya kuendelea, mmoja anaanza kuchoka na kumwambia mwenzake “mimi naona tunatofauti kubwa sana kwenye mambo ya majukumu ya hapa ndani na kwa jinsi hii sioni kama tutawezana bora kila mtu afuate ya kwake”.

    Hapa uaona kuwa majibizano yaliwahi kuanza muda mrefu huko nyuma ila yalikuwa na muendelezo hata pasipo wapenzi hawa kugundua na hivyo kuwapelekea kutengana.

    Kutofautiana katika maneno na mpenzi wako kunauma na unaweza ukatamani kufungua mlango wa gari likiwa katika mwendo utoke ili tu uondokane na kinywa chake. Hali hii inapozidi unaweza kujikuta unayatilia shaka mahusiano yenu na kuanza kuwa na hisia za kuyasitisha. Lakini hatuwezi kuukwepa ukweli kwamba majibizano na kutofautiana ni kitu cha asili kwenye mahusiano yeyote, jambo hili limetiliwa mkazo na wataalamu wengi wa mahusiano akiwemo mshauri Beth Fitzpatrick.

    Tafiti zinaonyesha kwamba wapenzi wengi wanaohudhuria huduma za ushauri wamekiri kwamba matatizo kama vile mawasiliano mabovu, kushindwa kusikiliza, kutojali, kupinga kila kinachosemwa au kutendwa, na kutumia lugha za matusi yamekuwa yakudumu katika mahusiano yao. Yamkini hali hii ipo pia katika mahusiano yako.

    Kama nilivyokwisha kusema awali, kwa kule kupitia katika majibizano hakumaanishi kwamba mahusiano yenu yanamatatizo, kinyume chake ni kwamba mahusiano yeyote yasiyopitia majibizano na kutofautiana yanaweza kukosa ubora unaotakiwa kimahusiano au kindoa. Maranyingine wapenzi wanaosema hawajawahi kutofautiana au kugombana wana madhaifu mengi tofauti na vile wanavyoonekana mbele za watu.

    Kule kukosa mazingira ya kutofautiana katika mahusiano yenu kunaweza kuwa na madhara makubwa kuliko kuwa na mazingira ya kutofautiana, wale wenye kukosa kutofautiana kimaneno wanaweza kuwa na tabia kama vile ukatili wa kimya kimya, kunyamaziana, kuziriana, kununiana, kunyimana tendo la ndoa na pia kukwepana. Tabia hizi zina madhara makubwa katika mahusiano. Kama mazingira ya kutofautiana yapo na ni dhahiri, kwanini msitofautiane ? Cha muhimu ni kuchagua kutofautiana kwa namna inayojenga na sio inayobomoa

    USIPITWE NA HABARI,MATUKIO,SIMULIZI KALI ZA MAPENZI,MIKASA,MAFUNDISHO KUHUSU MAPENZI KILA SIKU BOFYA HAPA KUDOWNLOAD APP YETU SASA NI BURE KABISA
    mapenzi app

    NAMNA YA KUZUIA KUMWAGA MAPEMA ...JIFUNZE MBINU RAHISI HAPA



    Mapema kumwaga
    kumwaga mapema ni tatizo afya ya uzazi wa kiume ambao huathiri hadi milioni 50 kwa watu wa Marekani. kumwaga mapema hufafanuliwa kama kumwaga ndani ya dakika tano au chini. Ni muhimu kuelewa, hata hivyo, kwamba kumwaga mapema ni subjective utambuzi na kabisa inategemea kuridhika ya washirika.

    Kulingana na akili Marekani Association 's ya "Diagnostic na Takwimu Manual":

    kumwaga mapema ni kama ilivyoelezwa "kumwaga ya kudumu au ya kawaida na kusisimua ndogo ya ngono, au, mbele, juu, au muda mfupi baada ya kupenya na kabla ya mtu anataka kuwa mtu anaweza kuzuia kumwaga mapema katika kesi wengi.."

    Sababu ya kumwaga mapema
    Kuna mambo kadhaa ambayo inaweza kusababisha kumwaga mapema. Moja inahusisha ukosefu wa uzoefu wa kijinsia. Baadhi ya watu na kuanza kufanya ngono na uzoefu kwamba kuunda majibu conditioned (kama vile masturbating haraka ili kuepuka kupata hawakupata na wazazi) kwamba bado anaendelea katika maisha ya watu wazima ya ngono. subconscious Man's akili wanaweza kujenga imani kwamba lazima haraka juu na ejaculate.

    Sababu nyingine ya kumwaga mapema ni ukosefu wa elimu ya hisia. Watu ambao wanaweza kuzuia kumwaga mapema na ya mwisho ya muda mrefu ya kujamiiana ni uwezo wa kutambua hatua yao ya "inevitability ejaculatory" (kwamba mahali ambapo kumwaga hawezi kuwa kusimamishwa), na kuchukua hatua za marekebisho katika kitanda kabla ya hatua hiyo ni kufikiwa. Kwa wale ambao hawana kuhisi hatua hii, kumwaga hutokea kabla ya kuelewa ni kuchelewa mno ya kuizuia. Mtu lazima kuangalia kwa matibabu mapema kumwaga kwamba itakuwa ya kufunga kuchochea hisia katika akili ya fahamu kwa msaada wa mwili ili kuzuia kumwaga mapema muda mrefu kabla ya hatua ya kurudi tena.

    BBC News ripoti ya Afya: Wakati mwingine watu kuwa ejaculators haraka kwa sababu ya shinikizo la mpenzi na "haraka juu na kupata zaidi." Kila sababu ya asili ya kumwaga mapema, mwili anapata kutumika kukabiliana haraka na kumwaga mapema huwa desturi. Mara kwa mara sana, kumwaga mapema matokeo ya hali ya kimwili kama njia ya mkojo au maambukizi ya kibofu. Utafiti wa hivi karibuni unaonyesha kwamba baadhi ya watu inaweza kuwa na predisposition physiological katika mfumo wa neva na ejaculate haraka. Lakini kwa ajili ya watu wengi, kumwaga mara nyingi kuwa wepesi katika nyakati za matatizo au afya mbaya.

    Wasiwasi utendaji
    Utendaji wasiwasi inaweza kuwa ni sababu kubwa ya kumwaga mapema na kuzungumza na mpenzi wako juu ya hisia zako inaweza pia kusaidia. Kumbuka ni ya kawaida ya ngono na uzoefu kwa ajili ya wanaume na wanawake. Kupumzika zaidi na tatizo mara nyingi huenda mbali.

    Wanaume wengi ambao uzoefu kumwaga mapema unaweza uzoefu hali ya kukutana na ugumu wa sasa dhiki katika mahusiano yao au matatizo ya kufanya uhusiano mpya. majeraha A na aibu inaweza kuonekana kuhusishwa na dysfunction hii. Kwa bahati, kuna mbalimbali ya tiba ya kuzuia kumwaga mapema na sio kuishi kwa kuwa na furaha kuhusu hali yako.

    Kuzuia kumwaga mapema
    Kuna njia kadhaa za kuzuia kumwaga mapema. Mbinu mbili za kuaminika ni mbinu ya kuacha kuanza na matibabu ya asili.
    Kuanza-Stop Method
    Kuanza kuacha njia inahusisha mpenzi kuchochea mtu uume, isipokuwa kwamba mtu wa kuwafundisha, mpenzi ataacha kuchochea mtu uume kabla ya kumwaga anahisi kuwa lazima. Basi kama anahisi yeye regains kudhibiti, yeye kuwafundisha mpenzi kuanza kuchochea uume wake tena na tena, kisha kuacha, nk

    Utaratibu huu lazima unaorudiwa na mpenzi mara tatu kabla ya kuruhusu mtu kwa ejaculate juu mara ya nne. michache ya kurudia zoezi hili uume angalau mara tatu kwa wiki, hata mtu anaona anaweza kudhibiti kumwaga mapema, basi maendeleo ya kuanza kuacha na lubrication, na kisha kukutana na mwanamke wa juu na wa mtu si ya kusonga mbele. Yeye tena kuwafundisha yake na kuacha kusonga wakati akili yeye ni kuhusu ejaculate. Wanandoa progresses zaidi ya mara baadae hoja ya kuwa na mtu, kisha upande kwa upande ngono na kisha maendeleo tu kupunguza chini ya kuwawezesha mtu kurejesha udhibiti wa kuwaomba wake ejaculate bila ya "kuacha kamili". Therapists ushauri wa wagonjwa kwa kutumia njia hii ya kuanza kuacha ripoti ya asilimia 60 kiwango cha mafanikio katika kuzuia kumwaga mapema.

    Dr Helen Kaplan ilivyoelezwa katika kitabu chake, mapema kumwaga, uume nyingine mazoezi kwamba yeye alidai wakati akifanya na mazoezi mara kwa mara wa muda mrefu katika angalau 70% ya watu wakati kati ya mapya ya ngono na kumwaga.

    Kuna idadi ya mambo unaweza kufanya ili kusaidia mwenyewe kutambua hatua ya inevitability na kuzuia kumwaga mapema.

    Unaweza kuchagua mazoezi peke yake kwa mara ya kwanza, kisha kujadili na mpenzi wako na waombe kukusaidia kushinda tatizo hili na kutumia njia ya kuanza kuacha pamoja.



    Tiba mapema kumwaga
    Kuna chaguzi nyingine ya kuzuia kumwaga mapema. Kutumia kondomu. Kondomu itakusaidia mwisho tena, na pia kusaidia kuzuia magonjwa ya zinaa na mimba (kwa ajili ya ngono uke).

    Kujaribu kuhama mawazo yako juu ya kitu yasiyo ya ngono ili kukusaidia mwisho tena.

    Kutumia mbinu itapunguza. Mpenzi wako ni katika udhibiti wa mbinu hii. Kuwa na mpenzi wako upole caress siri yako. Wakati wanaona kuwa wewe ni kuhusu ejaculate, kuwa na mpenzi wako itapunguza uume wako. Wakati hisia ya ejaculate amepita, kuwa mpenzi wako kuanza caress sehemu zako za siri tena. Wakati huu, jaribu kuongeza muda wa inachukua muda kwa hisia na ejaculate. Baada ya itapunguza ya tatu au ya nne, ni lazima basi wewe mwenyewe ejaculate.

    Kuzungumza na mpenzi wako, hivyo unaweza wote kujisikia vizuri zaidi juu ya hali hiyo.


    USIPITWE NA HABARI,MATUKIO,SIMULIZI KALI ZA MAPENZI,MIKASA,MAFUNDISHO KUHUSU MAPENZI KILA SIKU BOFYA HAPA KUDOWNLOAD APP YETU SASA NI BURE KABISA
    mapenzi app

    R Kelly Apanga Kukimbilia Afrika, Wanaodai Aliwabaka Wacharuka




    Idara za upelelezi wa makosa ya jinai za Illinois na Georgia nchini Marekani, vimeeleza kuwa kuna taarifa za kiintelijensia zinazomhusu R Kelly kupanga njama za kukimbilia barani Afrika, kukwepa mashtaka ya unyanyasaji wa kingono kwa wasichana wadogo yanayoandaliwa dhidi yake.

    R Kelly amekuwa mada kuu ndani ya kipindi cha wiki hizi mbili tangu makala maalum inayowaonesha wanawake kadhaa wanaodaiwa kunyanyaswa kingono na mwimbaji huyo walipokuwa na umri wa kati ya miaka 14 hadi 16 na mwingine miaka 19, kuachiwa rasmi kwa ajili ya umma.

    Makala hiyo ya video iliyopewa jina la ‘Surviving R Kelly’, imewasha moto na kuwaibua watu wengi zaidi, huku lebo ya muziki aliyokuwa akiifanyia kazi ikimtema rasmi na nyimbo zake zote kuondolewa kwenye mitandao ya kuuza muziki.

    Waathirika wa sakata hilo la R Kelly wanadai kuwa mwimbaji huyo alikuwa na magonjwa ya zinaa yasiyotibika na kwamba alikuwa anayasambaza kwa watoto wa kike kwa makusudi.


    Lady Gaga alikuwa msanii wa mwisho hivi karibuni kufuata nyayo za wasanii wengine kwa kutangaza kuufuta wimbo aliomshirikisha R Kelly mwaka 2013 ‘Do What You Want [With My Body]’. Wimbo huo tayari umeshaondolewa YouTube na kwenye mitandao mingine.

     Hata hivyo, Idara za uchunguzi wa makosa ya jinai zimewataka wanawake wanaomtuhumu R Kelly kujitolea kushiriki katika uchunguzi huo hadi kusimama mahakamani ili kufanikisha nia ya awali ya kumfungulia mashtaka rasmi, vinginevyo ataweza kuondoka nchini humo.

    “Hakuna kitu ambacho kinaweza kufanyika kuchunguza tuhuma hizi bila kupata ushirikiano wa kutosha kutoka kwa waathirika wa tukio hili pamoja na mashahidi. Hatuwezi kutafuta haki bila ninyi,” alisema Kim Foxx ambaye ni mwanasheria wa Serikali wa jiji la Chicago.

     “Tunahitaji mashahidi halisi na waathirika ambao wanaweza kueleza kinagaubaga simulizi la manyanyaso ya kingono,” aliongeza.

    Katika Makala hiyo mpya, imeelezwa kuwa R Kelly mwenyewe ni muathirika aliyewahi kunyanyaswa kingono akiwa na umri wa miaka 13, lakini baada ya kuwa maarufu aligeuka kuwa mnyanyasaji kwa wasichana wadogo akiwemo marehemu Aaliyah.

    R Kelly mwenye umri wa miaka 56, alipaswa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa Jumanne wiki hii, lakini iligeuka kuwa siku mbaya kwake kwani dunia ya muziki na jamii viliitumia kumsiliba kwa tuhuma hizo.

    Haijafahamika endapo atafanikiwa kutimkia barani Afrika anapanga kuelekea nchi gani kwani amewahi kuzuru Afrika mara kadhaa na kufanya miradi mbalimbali ya muziki.

    Mwaka 2010 alikuwa nchini Afrika Kusini ambapo aliimba wimbo wake ‘Sign of Victory’ kwenye Fainali za Kombe la Dunia. Pia aliongoza mradi wa One 8 uliowahusisha wasanii wengi wakubwa Afrika. Aliitembelea pia Ethiopia ambapo alifanya matamasha kadhaa makubwa.


    USIPITWE NA HABARI,MATUKIO,SIMULIZI KALI ZA MAPENZI,MIKASA,MAFUNDISHO KUHUSU MAPENZI KILA SIKU BOFYA HAPA KUDOWNLOAD APP YETU SASA NI BURE KABISA
    mapenzi app

    Usimwekee Limbwata Mmeo: Hizi ndio mbinu na njia za kumteka




    WANAWAKE wengi wanashindwa kujua wao wanatofautiana na wanaume kwa hisia na hata mawazo ya mapenzi. Wanaume wana mambo wanayoyapenda kutoka kwa wake zao hasa katika masuala ya mapenzi. Kwanza wanawake wajue wanaume wengi wana hisia za haraka za kufanya mapenzi kuliko wanawake.



    Mwanaume alivyoumbwa ni kwamba akiona tu mfano mwanamke umevaa kanga moja au umevaa night dress hiyo inatosha kusisimua. Wapo wanawake wanaowasisimua waume zao bila wao kujua. Mfano umevaa tu kanga moja au night dress ndani huna kitu.


    Kwako ni jambo la kawaida lakini kwa mwanaume sio la kawaida kwa kukuona hivyo tayari unakuwa umeamsha hisia zake. Ukimwona anakuja kutaka haki yake usidhani anakusumbua. Ujue tayari mwenzako alishafiria mbali zamani we huna habari.

    Ni vyema ukawa mwangalifu kujua hisia za mwanaume huyo mumeo kama inawezekana mpe anachohitaji kwani usipofanya hivyo unamwathiri kisaikolojia na anaweza kufikiria nje. Wanawake wengi wa nje waliowaweka waume zenu kiganjani hiyo ndio mbinu wanayotumia.



    Akiwa na ahadi na mumeo atamkuta kanga moja au amevaa night dress na kila anachohiji atapewa haraka tena kwa madoido. Kwanini akitaka hayo hayo kwa mkewe hapewi je ana kosa gani anapofikiria nje?

    NB:
    Nikisema mpe mumeo Hitaji lake sina maana Umpe mpaka kinyume na maumbile Ukiona Mumeo kafikia hapo Huyo Hafai si Mume mwenye Busara huyo na wala hakutakii mema mkatalie na Umwelimishe madhara ya Tendo la ndoa kinyume na maumbile.

    MVUTIE MUMEO KWA MWENEKANO WAKO.
    Mvuto ni muhimu sana kwa mwanaume. Wanaume wanapenda wanawake wanaowavutia kihisia. Niwaambie wanawake mlioolewa jueni kumvalia mumeo mavazi yanayomvutia.


    Sio vibaya kama nilivyosema hapo juu ukavaa kanga moja kama upo pamoja nae. Kama nilivyoeleza hapo juu mwanaume anasisimka kwa kuona. Kwanini avaliwe kanga moja na wanawake wa nje wakati wewe unaweza kuvaa.

    Wanawake jueni hili mnapokuwa karibu na waume zenu jianchieni Kwa mfano hakuna ubaya wakati mumeo karudi kutoka kazini akiwa amechoka, wakati unampotengea chakula ukavaa kanga moja au night dress.

    Unaweza kuona hilo ni jambo dogo lakini kisaikolojia utakuwa umefanya jambo kubwa. Hapo hata kama atakuwa ameudhiwa kazini atasahau na kukuona wewe mpenzi wake.

    Usafi panga vitu vyako vya chumbani vizuri:

    Jambo hili limekuwa lizizungumzwa sana hadi wengine wanasema mwanamke usafi.

    Kisaikolojia mpangalio wa vitu ndani na hasa chumbani kama ni mbovu unaweza kuathiri hata tendo la ndoa. Kama chumba ni kichafu vitu havijapangwa vizuri kisaikolojia kunapunguza msisimko wa mapenzi na hata kumfanya mwenzako achukie kufanya na wewe tendo hilo ukadhani hakupendi.

    Mwanamke tandika kitanda chako vizuri panga chumba chako tandika shuka nzuri. Siku hizi kuna shuka zina maneno ya mapenzi nunua hiyo uwe unatandika. Kisaikolojia utamfanya mpenzi wako avutiwe chumba chako na hata wewe mwenyewe.

    Mazingira mazuri yatamfanya asisimke haraka kimapenzi anapokuwa na wewe na hata kuitamana nyumba yake na kurudi mapema nyumbani.

    Jinsi chumba kilivyo rafu ndiyo wanasakolojia wanasema kunafanya ubongo uwe rafu hata kuchukia.

    Unaweza kumwona mwenzako anachukia kumbe ni kutokana na mpangilio mbovu wa chumba ndio sababu inayomfanya achukie.

    Uwe msafi wa mwili
    Sio usafi wa chumba pekee unatosha pia na usafi wa mwili wako ni muhimu.

    Niwakumbushe wanawake hakuna kitu kinachowachukiza wanaume kama mwanamke mchafu. Asiyejipenda. Sio lazima ujirembe sana lakini jitahidi ukawa msafi. Oga vizuri paka mafuta au lotion yako jipulizie manukato kidogo yanayomvutia mumeo.


    Sio lazima utumie gharama kubwa usafi wa kawaida unatosha na kupaka rotion kuna fanya ngozi ya mwanamke ikawa laini inayovutia wanaume wanapenda sana wanawake wenye ngozi laini yenye kuvutia inaleta msisimko mumeo anapokuwa anakuangalia mara kwa mara.

    Wanawake wa nje hawana zaidi ya hayo ni hayo hapo juu na mengine ndiyo wanayotumia kuwaweka waume zenu kiganjani. Usijaribu kwenda kwa mganga hakuna atakachokusaidia memeo atatoka kama wewe humsisimui, hupangi vitu vyako vizuri na pia kama unaendekeza uchafu ni rahisi mumeo kufikiria nje.

    Kujiamini kwako iwe ni kwa sababu unajua ‘kumhendo’ mumeo kwa kumpa mapenzi ya kiwango cha juu, kumheshimu, mjali na kumpatia mambo ya msingi ambayo anastahili kuyapata kutoka kwako. Ukifanya hivyo utaifanya roho yake imsute kila anapotaka kukusaliti.


    Hiyo ndiyo iwe sababu ya wewe kujiamini na wala huna sababu ya kujinadi kwa wenzako. Tambua kuwa kuna wanaofikia hatua ya kuhatarisha maisha yao kwa kutoa ‘mtandao’ wakijua kuwa ni njia ya kuwashika waume zao kumbe wanajitafutia matatizo makubwa.

    Wapo waliopoteza fedha zao nyingi kwa kwenda kwa waganga ili waume zao wasifurukute mbele zao lakini imekuwa kazi bure. Shituka leo, anza kutumia mbinu sahihi za kuishikilia ndoa yako na usijidanganye kwa kufanya mambo ambayo ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.

    Mwanamke aliyekamilika ni yule anayeuthamini mwili wake, sasa kwa nini leo hii ukubali ‘kumrukisha ukuta’ mumeo ili kumfanya asiende nje ? Kwa nini utumie fedha zako kwenye kumtafutia limbwata mumeo wakati wewe mwenyewe ni limbwata tosha ?.

    USIPITWE NA HABARI,MATUKIO,SIMULIZI KALI ZA MAPENZI,MIKASA,MAFUNDISHO KUHUSU MAPENZI KILA SIKU BOFYA HAPA KUDOWNLOAD APP YETU SASA NI BURE KABISA